Habari zenu
Napenda kuwakaribisha wazazi na wanafunzi ambao mmekuwa mkihangaika jinsi ya kupata sehemu sahihi ambayo mwanao atapata Elimu iliyo bora na kufanikiwa kutimiza ndoto zake kimaisha
Bila kusita Uongozi wa Shule ya Sekondari Kafulusu unapenda kukuarifu kuwa Kafulusu ndio shule pekee inayoweza kumsaidia mwanao kutimiza ndoto zake.
Tuna walimu wa kutosha katika kila somo, mazingira mazuri ya kuisomea,maabara ya kisasa, maktaba yenye vitabu vyote, maji ya bomba mda wote, umeme wa solar na Tanesco, vyumba vya madarasa vya kutosha, hivyo vyote vitamsaidia mwanao kupata ufaulu mzuri
|
Sehemu ya Maktaba |
|
Frank Bicolimana [Kulia] akiwa amemleta mdogo wake Fransis[Kushoto] Shuleni Kafulusu |
|
Maabara ya kisasa |
|
Madarasa yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 40 |